Posts

FASHION ZA VIATU VYA WANAWAKE

Image
  Kuna fashion nyingi sana za viatu vya wanawake kwa sasa duniani. Fashion hizi za viatu Mara nyingi hutegemea sana mavazi, mitindo ya nywele na sehemu ambayo viatu vinavaliwa bila kusahau rangi ya mavazi ulovaa. mfano: darasani Kama ni mwalimu, ofisini, kwenye sherehe n.k Ungana nami katika hii ya fashion za viatu vya kike. Hata tutajadili fashion moja na nyingine mpaka utakapopata uwezo wa kuchagua wapi na viatu vipi uvae.  SIMPLE SHOES... (VIATU VYEPESI ) Viatu hivi huvaliwa na wanawake wa aina zote. Viatu hivi Mara nyingi havichagui mavazi Wala sehemu ya kuvivaa viatu hivyo... Viatu hivi havina visigino virefu na wakati mwingine huvaliwa kwa kuingiza mguu wote na hufunika mpaka vidole.  Wataalamu wanashauri uvaaji wa simple shoes kwa watu wenye pilika pilika au harakati nyingi zinazojumuisha kutembea. Viatu hivi hupunguza maumivu ya miguu na mchoko wa Mara kwa Mara... Wataalamu huenda mbali na kusema viatu hivi ( simple shoes) hupunguza matatizo ya miguu kwa wanawake wakati wa uzee

FASHION YA SAA ZA MKONONI.

Image
  HISTORIA YA SAA ZA MKONONI. Ko Kabla ya Vita ya kwanza ya dunia hakukuwa na saa za mkononi. Wanajeshi walitumia saa za mfukoni yaani ( Pocket Watches). Wakati wa mapigano ukawa ngumu kwa wanajeshi kutumia saa za mfukoni sababu ya muda.. ikawalazimu kuzifaa saa hizo mkononi na ikawa rahisi kwa wao kutumia. Baada ya Vita kuisha ikawa Kama fashion ulaya. Saa mkononi zikaanza kuvaliwa na kutumika... UMUHIMU WA SAA ZA MKONONI : Saa za mkononi zina umuhimu wake Kama ifuatavyo... 1: SAA NI FASHION Saa za mkononi huongeza umaridadi kwa wanaume na urembo kwa wanawake. Saa ni moja Kati ya vitu ambavyo wataalamu wa fashion hushaauri kutumia ili kuongeza muonekano wa mvaaji. Hahahaha Sina hakika sana Ila mwanaume au mwanamke anaevaa SAA anakuwa Bora tofauti na mtu asie tumia SAA. 2 : SAA HAZIHITAJI KUCHAJI . saa za mkoni ni rahisi kutumia na hazihitaji kuchaji Mara kwa Mara. Betri ya saa hudumu mpaka mwaka mmoja na haitawahi kuzimika sababu ya chaji.  3 : SAA HUONGEZA UFANISI KATIKA KAZI . Asikw

MITINDO TOFAUTI YA MAVAZI YA KITENGE

Image
  Kitenge no vazi la asili lenye mitindo mingi Tofaut kama inavoonekana katika picha hizi......

MAANA YA FASHION

Image
fashio ni usemi wa urembo unaofahamika kwa wakati na mahali na kwa  kazi maalum,haswa katika mavazi,viatu,mtindo wa maisha,vifaa, Mtindo  mapambo,nywele na uwiano wa mwili.      Mitindo ni usemi tofauti na unaopewa kipaumbele na tasnia ambao kwa kawaida umefungamana na msimu wa mitindo.      Mtindo  ni usemi unaodumu kwa misimu mingi na mara nying huunganishwa na mambo ya kitamaduni na alama za jamii,darasa kwa mfano Baroque,Rococo,n.k      Kulingana na mtaalaam wa sosholojia  Pierre Bourdieu,mitindo inamaanisha …’’mitindo ya hivi karibuni,tofauti ya hivi karibuni’’ kutokana na utandawazi siku hizi mitindo inaentea duniani kote hasa kutoka nchi tajiri kwenda nchi maskini       Mitindo huwasilisha swala zima la urembo ambapo huleta muonekano mzuri zaidi hata hivyo mitindo huhitaji ubunifu zaidi ili kuwa na muonekano tofautitofauti katika mitindo. Hata hivyo haya yote hutegemeaa na misimu ya mwaka yaani masika,kiangazi,demani na kipupwe.      Kwa kuanza kuzungumzia suala zima la mitindo