FASHION YA SAA ZA MKONONI.
HISTORIA YA SAA ZA MKONONI. Ko Kabla ya Vita ya kwanza ya dunia hakukuwa na saa za mkononi. Wanajeshi walitumia saa za mfukoni yaani ( Pocket Watches). Wakati wa mapigano ukawa ngumu kwa wanajeshi kutumia saa za mfukoni sababu ya muda.. ikawalazimu kuzifaa saa hizo mkononi na ikawa rahisi kwa wao kutumia. Baada ya Vita kuisha ikawa Kama fashion ulaya. Saa mkononi zikaanza kuvaliwa na kutumika... UMUHIMU WA SAA ZA MKONONI : Saa za mkononi zina umuhimu wake Kama ifuatavyo... 1: SAA NI FASHION Saa za mkononi huongeza umaridadi kwa wanaume na urembo kwa wanawake. Saa ni moja Kati ya vitu ambavyo wataalamu wa fashion hushaauri kutumia ili kuongeza muonekano wa mvaaji. Hahahaha Sina hakika sana Ila mwanaume au mwanamke anaevaa SAA anakuwa Bora tofauti na mtu asie tumia SAA. 2 : SAA HAZIHITAJI KUCHAJI . saa za mkoni ni rahisi kutumia na hazihitaji kuchaji Mara kwa Mara. Betri ya saa hudumu mpaka mwaka mmoja na haitawahi kuzimika sababu ya chaji. 3 : SAA HUONGEZA UFANISI KATIKA KAZI . Asikw
Comments
Post a Comment